Kibilba

Kibilba (pia Kirote) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabilba kwenye visiwa vya Rote, Semau na Timor. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibilba imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibilba iko katika kundi la Kitimor-Babar.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search